asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Wednesday, March 15, 2017

Timu kutoka Tanzania yaopoa kiungo kutoka zimbabwe,...Mwigulu Nchemba amtangaza rasmi

Image result for Mwigulu Nchemba


TIMU iliyopanda daraja kutoka mkoa wa Singida, Singida United imemsajili kiungo wa kimataifa wa Zimbambwe Tafadzwa Kitunyi kutoka timu ya Chicken Inn Fc ya Zimbambwe Kwa dau ambalo halikutajwa .
Kitunyi, 22 amesaini mkabata wa miaka miwili kuitumikia Singida United.
Usajili huo ni moja ya mikakati ya kikosi hicho kujiimarisha kwa ajili ya ligi kuu Tanzania bara msimu ujao. Singida United iliungana na Lipuli FC (Iringa) na Njombe Mji (Njombe) kupanda daraja kucheza VPL msimu ujao baada ya kufanya vyema katika ligi daraja la kwanza.
Image result for Mwigulu Nchemba
Kitunyi ametambulishwa na Mwigulu Nchemba ambaye ni Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi huku akiwa ni mbunge wa Iramba Magharibi. Nchemba ni mdau mkubwa wa michezo hususan soka amekuwa karibu na Singida United tangu timu hiyo ikiwa ligi daraja la kwanza


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt