asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Tuesday, March 21, 2017

Wabunge kumi(10) wa CCM kutimba clouds........hiki ndicho walichokifuata

Image result for CCM


Wabunge kumi wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania kati yao wakiwemo mawaziri wanaenda clouds Lengo likiwa ni kuwapa pole clouds media kutokana na tukio lililowakuta la kuvamiwa.

Wabunge hao ni 

1:Hussein Bashe

2:Msukuma

3:Mlinga

4:Mpina

5:Ridhiwani 

Wengine Wa 5, ni mawaziri lengo ni kuwapa pole clouds media kwa uvamizi huo.


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt