asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Sunday, June 18, 2017

BAADA YA VUTA NIKUVUTE YA MUDA MREFU...!!! HAYA HAPA MAAMUZI YA MKUDE MWENYEWE JUU YA YEYE NA SIMBA

Related image
Nahodha wa Simba, Jonas Mkude ameongeza mkataba na klabu yake hiyo.

Mkude amesaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia Simba.

Kiungo huyo mkabaji alikuwa kati ya wachezaji wanaowania na watani wao wa jadi Yanga.


“Ameongeza mkataba wa miaka miwili, ilikuwa ni baada ya kukamilisha majadiliano ambayo yalikuwa yamefikia zaidi ya asilimia 99,” kilieleza chanzo.

TUPE MAONI YAKO HAPA CHINI


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt