asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Thursday, June 15, 2017

SIMBA WAZIDI KUITIA YANGA JAMBAJAMBA,... WASAJILI JEMBE LINGINE TENA RASMI





Simba imemsajili  kiraka wa Mtibwa Sugar, Ally Shomari.


Miaka miwili ndiyo mkataba wake na Simba ambayo imeonekana kupania kuimarisha kikosi chake msimu huu.

Shomari ana uwezo wa kucheza namba mbili, saba, sita kama kiungo mkabaji lakini nane. Pia anaweza kucheza 11 au 10.


Kiungo huyo ni kati ya wale waliofanya vizuri na Mtibwa Sugar msimu uliopita


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt