asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Thursday, June 15, 2017

HATIMAYE MAXIME ASHINDWA KULIHIFADHI MOYONI, AAMUA KUSEMA MAMBO HAYA KUHUSU NYOSO BAADA YA KUMWAGA WINO

Image result for juma nyoso
Kocha wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amesema Juma Nyosso awatawasaidia kuimarisha safu ya ulinzi.

Maxime amesema Nyosso ni kati ya mabeki bora na ana imani naye.

“Mimi sipendi maneno, subiri ligi ianze utaona. Ninaamini atakuwa msaada,” alisema na hata alipoulizwa tena, akasema.

“Nyosso ninampokea na nina imani naye. Ndiyo maana nasema subiri ligi ianze.”

Kagera Sugar imemtwaa Nyosso ambaye mkataba wake na Mbeya City imemaliza akiwa kifungoni.


Nyosso alipatikana na hatia ya kumpapasa makalio nahodha wa Azam FC, John Bocco wakati huo.


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt