asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Monday, December 19, 2016

NEDY MUSIC AFUNGUKA MAPYA KUHUSU KULALA NA SHILOLE

Msanii wa bongo fleva kutoka PKP chini ya Ommy Dimpoz amefunguka kuhusu tuhuma za yeye kuwa na mahusiano na msanii mwenzake Shilole, na kusema kuwa hajawahi kuwa mahusiano na mwana dada huyo zaidi ya urafiki wa kawaida.
Related image
Nedy Music na Shilole
Nedy akiwa katika kipindi cha FNL cha EATV alisema taarifa za kuwa yeye ni miongoni mwa vijana waliotongozwa na Shilole siyo za kweli na kwamba hajawahi kulala kwa Shilole kama ambavyo imekuwa ikielezwa.
Shilole amkuwa kwenye mahisiano na wasanii kadhaa akiwemo Hamadai na Nuh Mziwanda ambao tayari ameachana nao na hivi karibuni ukaribu wake na Nedy Music umeibua maswali na hisia miongoni mwa mashabiki kuwa huenda wawili hao wapo kwenye mahusiano.
Katika hatua nyingine, Nedy alisema kuwa kuondoka kwa Mubenga kwenye lebo yao ya PKP hakujaacha pengo lolote kwa kuwa menejimenti bado ipo licha ya kutokakuwa na meneja.


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt