asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Friday, March 31, 2017

Shilole apanga kufanya makubwa kwenye 40 ya mtoto wa Nuh Mziwanda

Shilole aka Shishi Trump ni mzungu. Amesema hana kinyongo na ex wake Nuh Mziwanda na ndio maana mwaliko wa 40 ya mtoto wa kike wa Nuh na mke wake Nawal ukihusika, ataenda kufanya makubwa.
“Mimi sinaga shobo ujue,” muimbaji huyo alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio hivi karibuni.
“Mimi naenda kwa moyo wangu kwamba ntaenda kama msanii mwenzangu kwamba hongera kwa kupata mtoto vizawadi hivi kama vibeseni, si unajua tena mama yake mkubwa wa zamani lazima naye.. sina tatizo,” aliongeza.
Alipoulizwa kwanini hakumpa mtoto Nuh kwenye uhusiano wao, staa huyo alijibu, ‘hatukujaaliwa tu.’ Shilole amesisitiza kuwa bado yupo single kwa sasa


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt