asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Tuesday, July 4, 2017

HATIMAYE YANGA WAMWAGA HADHARANI SABAU ZA KUMKOSA DIDA NA WAAMUA KUMTAJA KIPA ATAKAYECHUKUA NAFASI YAKE

Image result for deogratius munishi
Kipa wa Yanga, Deogratius Munish amegoma kuongeza mkataba na klabu yake ya Yanga kwa kuwa anakwenda kufanya majaribio nje ya nchi.

Kocha wa wa Makipa wa Yanga, Juma Pondamali amesema Dida amewaambia hawezi kusaini, nao wamefikia uamuzi wa kuachana naye.

“Mtu anasema anakwenda kufanya majaribio na hataki kuongeza mkataba. Sasa wewe unataka tufanye nini?

“Tumeona hatuwezi kumsubiri mtu hadi arudi, badala yake tumemsajili yule kipa wa African Lyon, pia tuna Beno Kakolanya.

“Lakini tunaweza kusajili kipa mwingine chipukizi. Basi mambo yataendelea,” alisema Pondamali


1 comment:

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt