asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Thursday, July 6, 2017

HAYAWI HAYAWI SASA YAMEKUWA..!!! JIONEE MWENYEWE HAPA YALIYOMKUTA MMILIKI WA SHULE YA LUCKY VICENT BAADA YA AJALI ILIYOUA WANAFUNZI ZAIDI YA 30


Image result for lucky vincent
Kufuatia ajali ya basi la Wanafunzi wa Lucky Vincent iliyotokea Karatu, Arusha na kuua 32 na kuacha Majeruhi watatu ambao wanatibiwa kwenye Hospitali ya Mercy, Sioux City Iowa, Marekani huku Mmiliki wa shule hiyo na Makamu Mkuu wa Shule wakishikiliwa na Polisi.

Sasa new story jana July 5, 2017 ni kwamba Mahakama ya Wilaya Arusha imesema kuwa Upelelezi wa kesi inayomkabili mmiliki wa Shule ya Lucky Vincent, Innocent Mosha na Makamu Mkuu wa Shule hiyo Longino Vincent umekamilika na kesi hiyo itaanza kusikilizwa July 26, 2017 wakikabiliwa na mashtaka matano.

Mashtaka wanayokabiliwa nayo pamoja na Mmiliki huyo kuruhusu Dereva kuendesha gari la abiria bila kuwa na leseni ya usafirishaji, kutumia gari bila kuwa na BIMA pamoja na kushindwa kuingia mkataba na Mwajiriwa.

Mashtaka mengine ni kuzidisha abiria 13 kwenye gari pamoja Kaimu Mkuu wa Shule kuratibu safari na kuruhusu gari kuzidisha abiria


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt