Shirikisho la Soka Duniani FIFA hatimaye limepitisha mabadiliko
ambapo kuanzia mwaka 2016 timu zitakazoshiriki Kombe la Dunia
zitaongezeka kutoka 32 hadi kufikia 48.
Mpango huo ulipitishwa katika mkutano mkuu nchini Uswizi kwa kupigia
kura mpango wa kupanua Kombe la Dunia liwe linashirikisha mataifa 48
huku mabara ya Afrika na Asia yakitarajia kunufaika zaidi.
Baada ya mabadiliko hayo, kuanzia katika mashindano ya mwaka 2026, kutakuwa na makundi matatu yenye timu 16 kila moja.
Mpango huo ambao umekuwa ukipigiwa debe na Rais wa shirikisho hilo Gianni Infantino.
SLIDE MANENO
Tuesday, January 10, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment