asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Monday, December 12, 2016

LADY Jay Dee afunguka kuhusu kustaafu muziki

Mkongwe wa muziki nchini mwanadada Lady Jay Dee, amewajibu wanaotaka astaafu muziki, na kusema kuwa ataendelea kuwepo kwenye game ya bongo fleva na kwamba hana mpango wa kuacha muziki.
Jay Dee ametumia nafasi aliyopata katika tuzo za EATV kutoa jibu hilo, huku akisema ataendelea kuwaburudisha mashabiki zake na muziki mzuri, na kamwe hatachoka.
Akizungumzia Tuzo aliyoipata ya Mwanamuziki bora wa kike, Jay amesema ni hatua nzuri kwake kuendelea kumng'arisha huku akitoa pongezi kwa EATV kwa maandalizi mazuri ya tuzo hizo


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt