asali

mbogo

sawe tv

advertise

SLIDE MANENO


Usipitwe na chochote, tupo ili kukuhabarisha tembelea blog hii kila siku, pia usisahau ku subscribe youtube channel yetu ya sawe tv

Friday, December 16, 2016

TAREHE YA NDOA YA MESSI YATANGAZWA

Nyota wa ulimwengu wa soka kutoka Argentina  Lionel Messi atarajiwa kufunga pingu za maisha mwaka ujao na Antonella Roccuzzo.
Antonella Roccuzzo.jpg
Kwa mujibu wa taarifa za Uhispania na Argentina ni kuwa Messi na Roccuzzo wataanza maisha ya ndoa mwanzoni mwa msimu wa joto Barcelona.
Taarifa hizo pia zafahamisha kuwa hafla kubwa ya harusi itafanyika Argentina na watu wengi maarufu watahudhuria .
Messi na Roccuzzo wamekuwa wapenzi kwa muda mrefu na sasa wameamua kuchukua hatua ya kufunga pingu za maisha ambapo wataanza maisha yao pamoja katika makao ya Barcelona


No comments:

Post a Comment

MAKTABA YA MAGAZETI / NEWSPAPER LIBRARY....... SOMA HAPA MAGAZETI YA SASA NA YALIYOPITA

  • MAGAZETI.
  • Tree in field with blue sky.
  • MAGAZETIt